Sandiego
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 1,288
- 2,075
Lolote linawezekana mkuuUsishangae mwarabu akapindua meza kibabe huko Misri
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lolote linawezekana mkuuUsishangae mwarabu akapindua meza kibabe huko Misri
Kama huijui tuendelee tu na kabumbu mkuuNdio nn mkuu hicho
Canal+ tunaendelea kula burudani
Yeah, pia kutegemeana na mazoezi ya upigaji nani alikuwa boraWakati mwingine maelekezo ya nani apige hutoka kwa Kocha.
Kukosa penalti kumewalegezaSimba imepoa, wamekata tamaa hivi
Dk 80 bila bila.Magoli mangapi?
Poa mkuu mwwlekeo upoje na dakika ya ngapi sasa. maana namsubiri kagere afanye mawonderzNi mwendo wa kifaransa lakini?
Pole sanaLeo Simba utafikiri walikua hawachezi pamoja..
Ukishaona siku sio njema kwako kila ukijaribu unakosea inafika wakati ulazimishe ata kuomba Sub.Ukweli upo wazi ata simba wakiondolewa bocco ndo chanzo.
Bocco kavuruga timu nzima
Tusidanganyane mkuu, kwenye ukweli mahaba tuweke pembeniTP "Mzembe" atafia Lubumbashi na kuzikwa huko huko.
.....Inawezekana ila inahitaji juhudi kubwa.TP "Mzembe" atafia Lubumbashi na kuzikwa huko huko.