Tambwe ndo anachezea team gani?
89 bila bilaDkk ya ngapi?
NdandaTambwe ndo anachezea team gani?
OkNdanda
Lazima kisaikolojia wamevurugika.Bocco kavuruga timu nzima
Halafu kuna watu walikuwa wanaicheka Simba Sc kwa kufungwa 5, wakati hata Mwarabu mwenyewe anachezea 5
Huko Lubumbashi kazi itakuwa nzito sana kwa Simba! Anyway kwenye mpira lolote hutokea........
Leo waarabu watakuwa wekundu. Hakika wasouth wameutumia vizuri uwanja wao. Al ahly kazi anayo kupindua.Mamelodi Sundowns 5- 0 Al Ahly......hii hatua ya wababe zaidi
Si anacheza au?OKW BOBAN SUNZU umeanzisha uzi mwenyewe umeingia mitini. Sio sawa!!