Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Penati ile haikutakiwa ipigwe na bocco kutokana na mchezo alivyocheza Leo. Amekosa magori mengi ya wazi hivyo tayari alikua Na stress nyingi aliyepaswa kupiga penati ni Okwi kwasababu ndiyo alikua ameingia kwa uwanja akiwa hana stress.

Kwenye michuano ya namna hii haitakiwi uwe na stress ukiwa na stress hupati matokeo chanya.

Nawaombea simba kila la kheri kwenye mchezo ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchebe anaongea kifaransa leo..Mazembe sio watu wazuri
 
Kama umefuatilia vizuri ile mechi utaungana na mimi hawa simba wamebebwa kiasi kikubwa. Ile kadi aloipata mchezaji wa tp mazembe hakustahili kabisa. Ile ilikua penalt ya wazi. Ila tp mazembe wamenyimwa. Na matukio mengi tu yanayoonesha kubebwa.
 

Unajuaje kuwa alikuwa na stress??? Angepewa huyo Okwi na akakosa mngesema kwanini asingepiga Bocco...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…