Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mmebadili gia angani kutoka kumfunga 3-0 taifa mpaka kumtoa kwa penalt pale "lumbumbenga".Tunatinga nusu fainali kwa mikwaju ya penati
Haya Ni matumizi mabaya ya akiliSimba anakwenda Nusu ,kule Lubumbashi tunatoka sare ya Magoli
Naona mmebadili gia angani kutoka kumfunga 3-0 taifa mpaka kumtoa kwa penalt pale "lumbumbenga".
Hahaha hongereni kwa kushiriki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaona kutoka sare na TP Mazembe ni sawa na kutoka sare na Ndanda?Wapi nimesema mamelody ni wenzenu , au ndio akili za kutoka sare
Nimesema watahofu Simba kupata bao, lakini si lazima iwe hivyoUsijidanganye na mpira was Africa ulivyo Simba kule hapati bao
Ushaona mazambe wanavyocheza kwao?
Hupati hata Muda wa kukaa na mpira wanakuchezea nusu uwanja