Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Ata angepata ile penati isingemfikisha popote pale.

MGC
 
Hv Bocco anautani na mwenye Bombardier zake huko angani!
Hatuna budi kuwapongeza SSC kwa hatua waliofikia wengi wetu hatukuitarajia.
Naamini uzoefu walioupata utazidi kuwajenga kwa ajili ya kuboresha kikosi na mbinu katika mashindano ya mwakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo kala hasara marefa alikuwa anawapa $30,000 kila mmoja ...ile ya Okwi kushika ilikuwa straight red card...beki wa Mazembe kageuka was not intentionally kafunika..sasa kule Lubumbashi tajiri karudi Congo mtapigwa 8..kwa kiarabu inaitwaje
 
Team inatoa dro na ndanda na kuupotezea ubingwa wazi wazi vyura wanakoroma kwa furaha [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

Mnyama simba anatoa dro na tp mazembe hatua ya robo fainali club beingwa Africa yanamzomea

Hiv yana akili kweli hata mavyura??? [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

NB:Simba itabaki mawinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijidanganye na mpira was Africa ulivyo Simba kule hapati bao
Ushaona mazambe wanavyocheza kwao?
Hupati hata Muda wa kukaa na mpira wanakuchezea nusu uwanja
Nimesema watahofu Simba kupata bao, lakini si lazima iwe hivyo
 
Back
Top Bottom