Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Pole Dada angu. Sijawahi ona unaandika kauli kali hivi.Huyu bocco ni kichaa
Penati ya Boko itabaki kuwa juu. πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Dada angu. Sijawahi ona unaandika kauli kali hivi.Huyu bocco ni kichaa
Tumejipanga kuiondoa kwaoNdio maana mmekuwa wadogo yaani kuna watu miguu ilikuwa mizito kutoka pale kwa Mkapa. πππ
Pole Dada angu. Sijawahi ona unaandika kauli kali hivi.
Penati ya Boko itabaki kuwa juu.
Tambwe, or sorry kumbe BoccoNani huyo? πππ
Hili ni lile la mbwa wa chini ya uvungu?Al Ahl wameliaibisha kundi D,wamekula 5
Pole MtaniPenati imeuma sana hii.
Kila la kheri Mtani japo nawapa asilimia chache sana Mtani.Tumejipanga kuiondoa kwao
Kwani Shaffih Dauda ameyachambuaje haya matokeo? Je hao Al ahly pia ni underdog πΆ?
Mtani umeamini ule utabiri wangu kwamba mtatoka sare?
π π π ile ya Tabwe haikuenda juu kileleni ujue Iliambaa ambaa chini.Tambwe, or sorry kumbe Bocco
Pole Mtani
Kwa ukomavu umeonekana Mtani sio siri.Mtani nimeamini, binafsi matokeo nimeyafurahia sana kwa sababu Simba tumeonesha ukomavu mpaka kufika hapa.
Na hadi tunaondoka mashindanoni tumeulinda uwanja wa nyumbani vilivyo.
Hakika tusubiri tuone Mtani huenda mkafanya WondersShukrani Mtani, imeniuma sana hiyo penati.
Ngoja tusubiri kitakachotokea ugenini.
Kwa ukomavu umeonekana Mtani sio siri.
Hakika japo huko nje nako hamjakutendea haki maana mna twelve kibindoni hapo bado za Congo wiki ijayo. ππ
Wonders ni ngumu, tuhamasishane tu ila ukweli ni kwamba hii safari imefika mwisho.Hakika tusubiri tuone Mtani huenda mkafanya Wonders
Huu ndio ukweli mchungu. Sina la kuongeza.Mechi ya leo, imehitimisha mwisho wa hadithi nzuri ya kuvutia ya Simba kwa msimu huu katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wamepambana vya kutosha, hawakupoteza mechi yoyote nyumbani, pongezi kwa uongozi, benci la ufundi na wachezaji.
Tukutane msimu ujao tena!
Swahiba kama nimekuelewa hivi.Usijidanganye na mpira was Africa ulivyo Simba kule hapati bao
Ushaona mazambe wanavyocheza kwao?
Hupati hata Muda wa kukaa na mpira wanakuchezea nusu uwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ