Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Mtani nimeamini, binafsi matokeo nimeyafurahia sana kwa sababu Simba tumeonesha ukomavu mpaka kufika hapa.

Na hadi tunaondoka mashindanoni tumeulinda uwanja wa nyumbani vilivyo.
Kwa ukomavu umeonekana Mtani sio siri.

Hakika japo huko nje nako hamjakutendea haki maana mna twelve kibindoni hapo bado za Congo wiki ijayo. 😎😎
 
Kwa ukomavu umeonekana Mtani sio siri.

Hakika japo huko nje nako hamjakutendea haki maana mna twelve kibindoni hapo bado za Congo wiki ijayo. 😎😎

Mtani kukua kuna hatua, vita ni mbinu na kadri unavyokua unajifunza.

Sisi ndiyo wawakilishi tena Mwakani, tutalifanyia kazi swala la ugenini.

Uzuri tumevuka lengo, plan ilikuwa ni makundi lakini tumefika robo, Africa imetutambua.
 
Huu ndio ukweli mchungu. Sina la kuongeza.
 
Usijidanganye na mpira was Africa ulivyo Simba kule hapati bao
Ushaona mazambe wanavyocheza kwao?
Hupati hata Muda wa kukaa na mpira wanakuchezea nusu uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Swahiba kama nimekuelewa hivi.

Maana leo umeondoa unazi wako wa Simba na kuongea ukweli ambao uko wazi kabisa. Mmeshindwa kupata matokeo pale kwa Mkapa mnapopaita Kaburi ni dhahir safari ya kurudi kwenye ile ligi mnayoisema ndio saizi ya yanga imewadia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…