Dada acha tu alijua kunivurugaPole Dada angu. Sijawahi ona unaandika kauli kali hivi.
Penati ya Boko itabaki kuwa juu. [emoji85][emoji85][emoji85]
Matokeo yalikuwa kama Simba vs Yanga, huenda mchezo wa pili kati ya Simba na Ndanda, Ndanda watakuwa kama Yanga.Hivi Simba na Ndanda matokeo yalikuwaje msimu huu katika mchezo wao wa kwanza, nimesahau kidogo
Mkuu congo sio brazil usishangae tukipita to semi fainalMtani tutegemee ushindi wa ngapi mkienda Congo?
Walioshindwa kushinda kwao ndo hawaendi nusu fainali.
Nadhani naongea na mtu asiye sahihiWalioshindwa kushinda kwao ndo hawaendi nusu fainali.
ALISIKIKA MLEVI MMOJA ASIYEJIELEWAMnachezea mshedede!
Ilikuuma kinyama ulipoianzishia uzi SIMBA V/S VITA ukashuhudia mnyama akitikisa vuzi!!ALISIKIKA MLEVI MMOJA ASIYEJIELEWA
HAMNA MKUU MBONA KAWAIDAIlikuuma kinyama ulipoianzishia uzi SIMBA V/S VITA ukashuhudia mnyama akitikisa vuzi!!
Hukuona mnyama akifanya vitu vyake!!?HAMNA MKUU MBONA KAWAIDA
Nipo ndugu. Mambo si mamboHivi upo kweli?
Pole sana Ndugu. Tuzidi kupambana nayo tu.Nipo ndugu. Mambo si mambo
Kabisaa. Wakati huwa napitia tu nyuzi. Kukomenti najisikia kuchoka. Maisha haya!!Pole sana Ndugu. Tuzidi kupambana nayo tu.
Sio mbaya ndugu kikubwa uzima upo.Kabisaa. Wakati huwa napitia tu nyuzi. Kukomenti najisikia kuchoka. Maisha haya!!
Nashukuru juzi TP Mazembe hawakuniangushaπππ
Nilikuonesha Hapo juu kuwa MO amevaa hirizi (ndumba)Hahahaaaa. Binamu sijakuelewa ujue?
Mmh !! Binamu kwa Avatar yako mpya ..Zlazims Wana SSC wafike fainali!!!!!!!Sio mbaya ndugu kikubwa uzima upo.
Hahahaaa. Ngoja wana nguvu moja waje hapo uone watakavyopovuka. π π π mie nasubiria Lubumbashi tu hapa.