Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Gor mahia kapigwa goli 2 nyumbani kwake. Huyu kupita ni bahati nasibu, hivyo basi mpaka muda huu tuna zaidi ya 90% ya TZ kuingiza timu 4 mwakani kwenye michuano ya afrika
 
55894886_2177617035650536_6798148716977706793_n.jpg
 
Sio mbaya ndugu kikubwa uzima upo.

Hahahaaa. Ngoja wana nguvu moja waje hapo uone watakavyopovuka. 😅😅😅 mie nasubiria Lubumbashi tu hapa.
Mmh !! Binamu kwa Avatar yako mpya ..Zlazims Wana SSC wafike fainali!!!!!!!
 
Back
Top Bottom