Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Aisee

Kumbe wakongo wengi hivyo
20190406_155151.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulitaka mwana kulipewa mwana
Simba chapa hao wazembe
 
Sina Mashaka Wala Hofu Zaidi Ushindi Upo
Taifa Leo Linakuwa Juu Baada Ya Ushindi
 
Duh..! Simba full Heshima safari hii. Mambo ya 'andadogi' hakuna tena..waliosema 'andadogi' sasa wanaiona Simba inaweza kufanya chochote...! Piga hao TP
 
Back
Top Bottom