Jamaa ni mchezaji mzuri Sana hasa mechi kama hiziHaruna Niyonzima ndio mchezaji wangu bora kwa dakika 45 za kwanza
Eeh Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema.. Naomba utupe nguvu zaidi ili tuwagaragaze, tuwabonde bonde, tuwasulubu, tuwang'ate, tuwatafune Tp Mazembe.. Japo Wakongo wametusaidia na vumbi lao, ila wembe ni ule ule uliomnyoa ndugu zao As Vita ndio huo huo utakaomnyoa na TP..
Pia uwape vyura fc moyo wa kutulia na bwana mmoja, waache umalaya wa kurukia kila bwana mwisho wa siku watapata mimba wasiojua baba yake..
This is SIMBA... Ladies and Gentlemen, Brothers and Sisters...
Mungu ibariki SIMBA.. Bariki mashabiki wake.. Ibariki Tanzania..
Mchawi mchawi tu yaan siku zote anapambana kila mtu awe maskini Kama yeyeKila la heri bana Kongo katika kipindi hiki cha pili.
Anapresha huyo msameheOKW BOBAN SUNZU umeanzisha uzi mwenyewe umeingia mitini. Sio sawa!!
Kwani ni Kanuni kwamba Mamelody wakifunga nao Simba ni Lazima wafunge?Wenzenu Mamelody Sundowns wanaongozq 2-0 vs All Ahly na sasa ni half time.
Nyie mko Nyumbani matokeo ni bila bila na bado mmekoswa goli za kutosha.
Kwani ni Kanuni kwamba Mamelody wakifunga nao Simba ni Lazima wafunge?Wenzenu Mamelody Sundowns wanaongozq 2-0 vs All Ahly na sasa ni half time.
Nyie mko Nyumbani matokeo ni bila bila na bado mmekoswa goli za kutosha.
Angalia na rafu anazochoza na mipira anayopoteza... anahitaji kutulia zaidi
Lakini pia "Strikers" wajifunze kumsoma.... anahitaji kutulia zaidi
Kuna vilabu bingwa nane bora hadi sasa Afrika, sijui imekuwaje useme Mamelodi Sundowns ndio wenzetu. Mwisho utasema Ndanda na Lipuli ni wenzetuWenzenu Mamelody Sundowns wanaongozq 2-0 vs All Ahly na sasa ni half time. Nyie mko Nyumbani matokeo ni bila bila na bado mmekoswa goli za kutosha.
Mbona kama unapaniki...?Kuna vilabu bingwa nane bora hadi sasa Afrika, sijui imekuwaje useme Mamelodi Sundowns ndio wenzetu. Mwisho utasema Ndanda na Lipuli ni wenzetu
Hakuna presha,isipokuwa namna ya kupost na kushangilia kwa wakati inakuwa ngumuAnapresha huyo msamehe