Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Hahaa iyo dua imenifanya nicheke mkuu apo kwene kipengele cha "Japo wakongo wametusaidia na vumbi lao"
Eeh Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema.. Naomba utupe nguvu zaidi ili tuwagaragaze, tuwabonde bonde, tuwasulubu, tuwang'ate, tuwatafune Tp Mazembe.. Japo Wakongo wametusaidia na vumbi lao, ila wembe ni ule ule uliomnyoa ndugu zao As Vita ndio huo huo utakaomnyoa na TP..

Pia uwape vyura fc moyo wa kutulia na bwana mmoja, waache umalaya wa kurukia kila bwana mwisho wa siku watapata mimba wasiojua baba yake..

This is SIMBA... Ladies and Gentlemen, Brothers and Sisters...

Mungu ibariki SIMBA.. Bariki mashabiki wake.. Ibariki Tanzania..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzenu Mamelody Sundowns wanaongozq 2-0 vs All Ahly na sasa ni half time.

Nyie mko Nyumbani matokeo ni bila bila na bado mmekoswa goli za kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzenu Mamelody Sundowns wanaongozq 2-0 vs All Ahly na sasa ni half time.
Nyie mko Nyumbani matokeo ni bila bila na bado mmekoswa goli za kutosha.
Kwani ni Kanuni kwamba Mamelody wakifunga nao Simba ni Lazima wafunge?
 
Wenzenu Mamelody Sundowns wanaongozq 2-0 vs All Ahly na sasa ni half time. Nyie mko Nyumbani matokeo ni bila bila na bado mmekoswa goli za kutosha.
Kuna vilabu bingwa nane bora hadi sasa Afrika, sijui imekuwaje useme Mamelodi Sundowns ndio wenzetu. Mwisho utasema Ndanda na Lipuli ni wenzetu
 
Back
Top Bottom