Robo ritani za BOT

Robo ritani za BOT

Ema12

Member
Joined
Oct 22, 2020
Posts
40
Reaction score
23
Habari wanajamvi naomba kuelekezwa jinsi ya kuandaa robo ritan za BOT. Kwa upande wa biashara ya microfinance
 
Kazi za wahasibu hizo mkuu..
Kipengele gani ambacho huelewi kwenye zile sheet?
 
Sina idea kabisa nahitaji kujua kuandaa
Kuna seminar huwa wanazitoa BOT fatiliia kwenye ofisi yako kama huwa mnapata mualiko kwa njia ya email.
Ukiwa kwenye computer na iwe na internet naweza kuku brush kidogo upate idea
 
Kuna seminar huwa wanazitoa BOT fatiliia kwenye ofisi yako kama huwa mnapata mualiko kwa njia ya email.
Ukiwa kwenye computer na iwe na internet naweza kuku brush kidogo upate idea
Kama inawezekana naomba kesho jion uni brush nitakuwa na Internet na computer
 
Back
Top Bottom