Robot lapewa Uraia na Serikali ya Saudi Arabia

Robot lapewa Uraia na Serikali ya Saudi Arabia

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Wakati watu huhangaika kupata Uraia Serikali ya Saudi Arabia imelipa Uraia li Robot linalojulikana kama Sofia. Hilo hapo

 
Hata Mimi nafahamu hivyo


Ila tuacheni masihara kuna watu wanatisha aisee..

Miaka 100 mitaani kutakuwa na robot kibao wanazagaa mitaani
Ndio maisha aseee inabidi tuendenayo tu maana hakna namna

Ila habari ndio hivyo.....
 
Back
Top Bottom