Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Takriban roboti 30 wameandamana katika mji mkuu wa Poland, Warsaw, wakipeperusha bendera na kuimba kaulimbiu nje ya Wizara ya Masuala ya Kidijitali. Maandamano hayo yameandaliwa na kundi la Democratism kwa lengo la kuibua mjadala kuhusu athari za Akili Mnemba na matumizi ya roboti katika soko la ajira.