Robson de Souza ''Robinho'' ahukumiwa miaka 9 jela kwa kosa la ubakaji

Robson de Souza ''Robinho'' ahukumiwa miaka 9 jela kwa kosa la ubakaji

Hivi uwa inakuaje mtu una mahela hivo hafu unabaka. Au masherti ya waganga?

Kwasababu ya pesa na fame zao hawezi kukubali neno "NO". Wamezoea kupata kila kitu wanachotaka ndio maana hawakubali kukataliwa, inabidi wachukue kwa nguvu.
 
Akaunt ya raia wa kigen ikishakua mpunga mrefu watu hutafuta namna ya kuzipunguza ili zisitoke nje ya nchi..huu mchezo wamekua wakifanyiwa masupastaa wengi na njia rahis ya kuwapata ni kuwaunganisha na wanawake bila wao kujua kua hii ni planned..

Huu mchezo kila superstaa atafanyiwa tu ili kuchukua pesa zake..

Refer..michael jackson,rkelly,c.ronaldo,robinho etc
 
Huyo R. Kelly ndio usimtaje kabisa, huyo ni Pedophile, na msala wake umekaa vibaya sana, lazima afungwe. Kama angesingiziwa wamarekani weusi na Media zote zingesimama kumtetea, lakini wamemwacha peke yake kwasababu noma yake iko waziwazi. Kama hutaki, uliza alimwoa Aaliyah kisirisiri akiwa na miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom