Rocco Siffredi, Muigizaji wa filamu za pono kugombea Urais Italia

Rocco Siffredi, Muigizaji wa filamu za pono kugombea Urais Italia

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Muigizaji wa filamu za pono kugombea urais.

Majina ambayo wengi hufahamu anaitwa Rocco Siffredi, lakini kwa majina halisi aliyopewa na wazazi wake anaitwa Rocco Antonio Tano, ni raia nchini Italy mwenye umri wa miaka 52 . Huyu bwana ni muigizaji mkubwa wa filamu za pono ambaye ametangaza rasmi kupitia mitandao yake ya kijamii kuwa atagombea urais.

Kwa wale wasiomfahamu, tunatambua sote kuwa hakuna mtu anayekubali kuwa anatazama pono kwa mujibu wa bwana Rocco Antonio Tano anadai kuwa anapaswa kulinganishwa na watu kama Ronaldo, Zidane na wengine kwa kuwa na yeye huisaidia nchi yake ya Italy kujulikana zaidi na amesema ameyafanya makubwa na mazuri kuliko hao wanasiasa wa nchi yake.

Msemo wake ambao atatumia ni “nahitaji Italy kuwa ngumu " . Hapa sasa wale ambao ni mashabiki wa filamu zake za pono wakijaribu kuambatanisha na huu msemo nakusema kuwa mambo yatakuwa magumu kweli.

Vipi wadau wampe nafasi ya kuwa Rais ama lah?

images (5).jpeg
 
Back
Top Bottom