Muigizaji wa filamu za pono kugombea urais.
Majina ambayo wengi hufahamu anaitwa Rocco Siffredi, lakini kwa majina halisi aliyopewa na wazazi wake anaitwa Rocco Antonio Tano, ni raia nchini Italy mwenye umri wa miaka 52 . Huyu bwana ni muigizaji mkubwa wa filamu za pono ambaye ametangaza rasmi kupitia mitandao yake ya kijamii kua atagombea urais.
Kwa wale wasiomfahamu, tunatambua sote kua hakuna mtu anayekubali kua anatazama pono kwa mujibu wa bwana Rocco Antonio Tano anadai kua anapaswa kulinganishwa na watu kama Ronaldo, Zidane na wengine kwa kua nayeye huisaidia nchi yake ya Italy kujulikana zaidi na amesema ameyafanya makubwa na mazuri kuliko hao wanasiasa wa nchi yake.
Msemo wake ambao atatumia ni “
nahitaji Italy kua ngumu " . Hapa sasa wale ambao ni mashabiki Wa filamu zake za pono wakijaribu kuambatanisha na huu msemo nakusema kua mambo yatakua magumu kweli
Vp wadau wammpe nafasi yakua rais ama lah ?
View attachment 2103124