Gogovivu45
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 229
- 133
hakuna mwenye statistic maana duka zilizopo mlimani city pia zipo rock city mall..Angalia mzunguko wa Biashara
$25 per square metre inawashinda wafanyabiashara pale Rockycity inabidi pasijae tu.Rockcity mall ipo vizuri ila bado haijajaa wafanyabiashara. Mimi nimefika kote hata huko mlimani city huwa sioni cha ajabu, ni mjengo wa chini ambao umesambaa sana kumbe kimsingi uwezo wake ki ujazo unaweza kuta sawa tu na rock city mall. Nawapa hongera rock city mall, design ni nzuri, ila watengeneze zile ngazi zinazotembea maana siku niliyopita pale nilikuta zote hazifanyi kazi
Aaaaaah wapi CINEMAX ni noma inabamba balaaHivi lile jengo la sinema pale rock city kuna ambalo linafanania hapa Bongo?
Ngoja Barrick na migodi mingine waingie Rock City Mall$25 per square metre inawashinda wafanyabiashara pale Rockycity inabidi pasijae tu.
Kweli mkuu,let's wait&see.Ngoja Barrick na migodi mingine waingie Rock City Mall
HakunaHivi lile jengo la sinema pale rock city kuna ambalo linafanania hapa Bongo?
Kunguru wa kishimundu wwSiku hizi pale Rockcity mall wasukuma tumeacha ku-vua ndala/malapa/katambuga tukitaka kupanda hizo lift?
Hakika mwanza ni jiji kubwa maana kila siku watu wa dar ni kujilinganisha na mwanza tu
Sijawahi sikia watu wa dar wakijilinganisha na hutu tumikoa kama kagera, kigoma na kimukoa cha arusha
Lakin ndo iko hivyo lazima ujilinganishe na unayeendana naye