Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Powerful ya shopping ndo kitu gani boss?Hivi tunaangalia madoido ya jengo au powerful ya shopping kwenye Mall.
Powerful ya shopping ndo kitu gani boss?Hivi tunaangalia madoido ya jengo au powerful ya shopping kwenye Mall.
Ni kile kitendo cha mgawanyiko wa ujazo katika kila kipimo kilicho kusudiwa.Powerful ya shopping ndo kitu gani boss?
rock city mall ni nzur na inazid kupendeza siku had siku ila aliyetangulia katangulia tu mliman bado ni kuzuri na kinachofanya papendeze ni mzunguko wa watu dsm population yake ni kubwa sana zaid ya mwanzaNi kile kitendo cha mgawanyiko wa ujazo katika kila kipimo kilicho kusudiwa.