Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,177 Reaction score 14,156 Jun 29, 2020 #21 October man said: Hivi tunaangalia madoido ya jengo au powerful ya shopping kwenye Mall. Click to expand... Powerful ya shopping ndo kitu gani boss?
October man said: Hivi tunaangalia madoido ya jengo au powerful ya shopping kwenye Mall. Click to expand... Powerful ya shopping ndo kitu gani boss?
October man JF-Expert Member Joined Nov 23, 2017 Posts 3,631 Reaction score 5,023 Jun 29, 2020 #22 Drone Camera said: Powerful ya shopping ndo kitu gani boss? Click to expand... Ni kile kitendo cha mgawanyiko wa ujazo katika kila kipimo kilicho kusudiwa.
Drone Camera said: Powerful ya shopping ndo kitu gani boss? Click to expand... Ni kile kitendo cha mgawanyiko wa ujazo katika kila kipimo kilicho kusudiwa.
Vege JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 338 Reaction score 365 Oct 13, 2020 #23 October man said: Ni kile kitendo cha mgawanyiko wa ujazo katika kila kipimo kilicho kusudiwa. Click to expand... rock city mall ni nzur na inazid kupendeza siku had siku ila aliyetangulia katangulia tu mliman bado ni kuzuri na kinachofanya papendeze ni mzunguko wa watu dsm population yake ni kubwa sana zaid ya mwanza
October man said: Ni kile kitendo cha mgawanyiko wa ujazo katika kila kipimo kilicho kusudiwa. Click to expand... rock city mall ni nzur na inazid kupendeza siku had siku ila aliyetangulia katangulia tu mliman bado ni kuzuri na kinachofanya papendeze ni mzunguko wa watu dsm population yake ni kubwa sana zaid ya mwanza