Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
ROCKBITCH BAND : kundi la wasanii wa kike linalofanya mapenzi na mashabiki zao
Wasanii hao wakike ambapo katikati ya show huwa wanarusha vitu maalum kwa mashabiki wao .....wenyeewe wanaviita kondom ya dhahabu ambapo mtu yoyote atakayeweza kudaka kimojawapo iwe mwanamke au mwanaume basi atapelekwa nyuma ya jukwaa kisha atafanya mapenzi na msanii wa kundi hilo
Kundi hilo limeanzishwa tokea mwaka 1984 lakini kwa sasa limekufa