Wengi wa waimba Rock n Roll hasa miaka ya 1970s walikuwa ni wafuasi wa shetani hata nyimbo zao tu zilikuwa za kishetani shetani mfano angalia video ya wimbo wa kundi linaloitwa KISS kwenye wimbo wao Rock n Roll All Nigt walio perform live.Pia sikiliza wimbo wa I'm on my way to hell wa AC/DC,kuna mwingine mwanamuziki wa kundi la Beetles yeye alisema wao ni famous kuliko hata Jesus.Kuna wengine wao waliweka picha ya Mchawi(English Occultist) maaraufu Kwenye cover ya album yao.Mchawi huyo aliitwa Aleister Crowley