RockBitch BAND: Kundi la wasanii wa kike lililofanya mapenzi na mashabiki zao

Madada wa Dar es salaam chukueni fursa hiyo.....anzisheni band yenu!!
 
Kufanya mapenzi chapchapu nyuma ya jukwaa na msanii kuna tofauti gani na hawa machangudoa yanayojiuza uchochoroni? Itabidi uwe mnara na ndani ya dakika Mbili upige goli fasta, hakuna raha hapo
 
Hivi kwa sasa kuna msanii/wasanii ambao huchanganya sanaa yao na ngono? Yaani kwa kufanya jukwaani live, kuimba maneno kwa ishara au kuvaa mavazi ya chumbani/ya kimahaba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…