fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Upo darajani au una wazoom pale climax😃Nipo rockcity kwenye viti vya kupumzikia yapata saa nzima sasa,wanavita watu wengi mno,wanawake na wanaume kila mmoja ana furaha.Wanawake warembo mno wanapita na maumbo ya kila aina.Wadadavwakiislamu na mavazi yao,mashallah wamependeza mno.
Pichaaaa, pichaaa😀Nipo rockcity kwenye viti vya kupumzikia yapata saa nzima sasa,wanavita watu wengi mno,wanawake na wanaume kila mmoja ana furaha.
Wanawake warembo mno wanapita na maumbo ya kila aina.Wadadavwakiislamu na mavazi yao,mashallah wamependeza mno.
Nenda taratibu Kijana wangu 🤣🤣🤣Umeambiwa umsubirie shemeji yako aliye gest house amekujwa wewe kijana umeanza kutamani wanawake,unazo hela za kuwahonga?
Bila picha ni chai hiyo.Nipo rockcity kwenye viti vya kupumzikia yapata saa nzima sasa,wanavita watu wengi mno,wanawake na wanaume kila mmoja ana furaha.Wanawake warembo mno wanapita na maumbo ya kila aina.Wadadavwakiislamu na mavazi yao,mashallah wamependeza mno.
sawa mkuu,lakini mada zake ni za kiwaki mno. Ushawahi kuniona naandika upupu kwenye mada zako? Kama ni hapana why? Kwa sababu mada zako zina maadili.Nenda taratibu Kijana wangu
Hii I'd huijui vizur hebu jaribu kufuatilia na threads alizoanzisha huyu mwenye hii I'd
Yawezekana akawa ni sawa na Baba yako, sometimes hata kama uko anonymously jitahidi kuwa na discipline ya asili
Huyo ni mtu mzima na ni bonge la tajiri na ameshakula sana dunia, fuatilia threads zakesawa mkuu,lakini mada zake ni za kiwaki mno. Ushawahi kuniona naandika upupu kwenye mada zako? Kama ni hapana why? Kwa sababu mada zako zina maadili.
Nipo Rockcity MallUpo darajani au una wazoom pale climax😃
Kupiga picha watu mie sijazoeaPichaaaa, pichaaa😀
Picha ziko wapi
HapanaIngia barbershop waambie full service, kisha fumba macho usinzie.
Ustaadh vipi hujarudi tena US kumtembelea bwana mdogo au Trump akaza kwenye vizaNipo rockcity kwenye viti vya kupumzikia yapata saa nzima sasa,wanavita watu wengi mno,wanawake na wanaume kila mmoja ana furaha.
Wanawake warembo mno wanapita na maumbo ya kila aina.Wadadavwakiislamu na mavazi yao,mashallah wamependeza mno.