Ndagullachrles
Senior Member
- Jun 20, 2023
- 153
- 161
Mkandarasi Kampuni ya Rocktronic wameungana na wadau wengine kufungua barabara iliyokuwa imefunga baada ya Daraja la Kwa wasomali wilayani Hai Mkoa wa Kilimanjaro kuzibwa na magogo.
Hali hiyo ilitokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha mto Sanya kufulika na kupelekea Daraja hilo kujaa maji na magogo .
Kutokana na Hali hiyo ,watu waliokuwa wakisafiri kati ya miji ya Arusha na Moshi na maeneo mengine ya nchi kukwama kwa zaidi ya saa nane tangu saa saa Saba usiku .
Prajesh ni mkurugenzi wa Kampuni ya Rocktronic amesema tangu alifajiri ya Leo walikuwa katika harakati za kuhakikisha barabara hiyo inafunguka ili kuruhusu Magari kupita na kuendelea na safari.
Amesema pamoja na kampuni yake kutokuhusika kwenye ujenzi wa Daraja hilo ,amejitolea kwa ajili ya kutimiza wajibu wake kamq mzalendo.
"Tangu saa 12 Asubuhi napambana kupeleka vifaa eneo la tukio kwa ajili ya Taifa langu ,nimefanya hivyo maeneo mengi ,Babati nimefanya na kwingineko kama mzalendo"
Meneja wq wakala wa Barabara(Tanroads)mkoa wa Kilimanjaro ,Motta Kyando ambaye mapema sana alikuwa eneo la tukio alisema kwa Sasa Hali inerejea kuwa ya kawaida na Magari yalikuwa yakipita upande mmoja wakati wakiendelea na jitihada za kuhakikisha njia yote inafunguka na mawasiliano kurejea kama kawaida.