Rodgers aiponda BBS na Madam Ritha.


pole ndugu yangu wewe walijua hili leooo au,,,,, isi tulishagundua hili toka misoji alivyo kupiga bao pale ubungo ikaja ya peter msechu ni yaleyale tuuu akuna lolote ni utumbo mtupuuuu ila rogers ni mkali kuna kawimbo nilikaotea pale tbc kipindi llan hivi ukiwa unapiga gitaaa yani nwewe hakunagaaa. ushauri wa bureee fanya kolabo na msechu mtapiga baooo madam ni fakeeeee:laugh:
 

Pamoja na yote hayo i believe Roja kafunguka ukweli toka moyoni mwake, pengind majembe kama Kala Jere na Chiku K, mchezo waliuona bt wakaumezea tu.Funguka Roja Funguka, aisifiaye mvua imemnyea, wote wasipomshitukia nani atawashtua??
 
Washindi wa bss ambao cjui walikuwaje washindi. J4 idd, mitoji na yule jamaa wa twanga vgezo ilikuwa ni mauno. cheki vpaji halic kama kala jeremia na aboubakar mzuri .Tatizo la Rodgerz ni strategies hasa alipotaka kuuza mzki wake mwenyewe ilhali hazjui chocho za music japo kpaji anacho
 
Huyo rodgers hana kipaji cha kuimba kwanza amshukuru madam ritha atleast kumfanya nae aonekane mwanamuziki!!!namshauri atafute bendi awe mpiga gitaa katika kuimba mweupe hana jambo!
 
Maoni yamepewa uhuru lakini hayabadilishi ukweli Kuwa bss ni private profitable insitution sasa alitaka Madame apate hasara, Ndo policy ya kampuni yake Ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…