Type
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 203
- 23
Msanii Rodgers aliyewahi kushiriki mashindano ya Bongo Star Search ameyaponda mashindano hayo kuwa hakuna haki na yanaendeshwa kwa interest za Madam Ritha. Amesema hajutii kukosa nafasi ya kwanza licha ya kushiriki mara mbili.
Amefika mbali kwa kusema Ritha anadhulumu haki za wasanii hao kwa kutengeneza pesa ndefu wakati washiriki ambao ndio wanaofanya mashindano hayo yawepo wanakufa masikini.
Akiongea kwa uchungu Rogers amesema Madam Ritha ndo anapanga nani awe mshindi hata kama hana kipaji. Hali hii inakatisha tamaa na kuwafanya wasanii wachukie aina ya mashindano kama BSS.
SOURCE: TBC (The Avenue program).
pole ndugu yangu wewe walijua hili leooo au,,,,, isi tulishagundua hili toka misoji alivyo kupiga bao pale ubungo ikaja ya peter msechu ni yaleyale tuuu akuna lolote ni utumbo mtupuuuu ila rogers ni mkali kuna kawimbo nilikaotea pale tbc kipindi llan hivi ukiwa unapiga gitaaa yani nwewe hakunagaaa. ushauri wa bureee fanya kolabo na msechu mtapiga baooo madam ni fakeeeee:laugh: