Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kwa mujibu wa ripoti, Rodri ameshinda tuzo ya Ballon d’Or na yuko Paris kupokea tuzo hiyo.
Vyanzo vya habari Ulaya vinaripoti kuwa Vinicius Jr hatosafiri kuelekea Paris kuhuhudhuria tuzo za Ballon dor usiku wa leo kutokana na kuwa wamepata taarifa kuwa yeye sio
Mshindi wa tuzo hiyo na hakuna Kiongozi wala Mchezaji yoyote wa Real Madrid atahudhuria tuzo hizo.
Soma, Pia: Vinicius Jr hatasafiri kwenda Paris kwa vile anajua "Hatashinda" Ballon d'Or mwaka huu
Hii hapa orodha ya Matokeo ya Ballon d'Or 2024 iliyovuja