Rodri atua na magongo ndani ya Paris kupokea Ballon d'Or aliyoporwa Vinicius Jr

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kwa mujibu wa ripoti, Rodri ameshinda tuzo ya Ballon d’Or na yuko Paris kupokea tuzo hiyo.

Vyanzo vya habari Ulaya vinaripoti kuwa Vinicius Jr hatosafiri kuelekea Paris kuhuhudhuria tuzo za Ballon dor usiku wa leo kutokana na kuwa wamepata taarifa kuwa yeye sio

Mshindi wa tuzo hiyo na hakuna Kiongozi wala Mchezaji yoyote wa Real Madrid atahudhuria tuzo hizo.

Soma, Pia: Vinicius Jr hatasafiri kwenda Paris kwa vile anajua "Hatashinda" Ballon d'Or mwaka huu

Hii hapa orodha ya Matokeo ya Ballon d'Or 2024 iliyovuja
 
Hizi tuzo za Ballon d'or ni siasa za mpira tu. Hivi Vini na Salah nani mkali ? 🤣🤣🤣
View attachment 3137445
Vini ni mkali, sitaki ushabiki maan mie ni Man U tumefukuza kocho kunusuru tusishuke daraja, lakini elewa SALAH anachezea timu ndogo, ligi nyepesi, na Liver hana vikombe kama Real.
Timu atokayo mchezaji inachangia, hawa wakin Vin na wengine wanatoka BRAZIL, wewe lini umeskia mchezaji toka klabu ya BRAZIL akiwa huko huko Brazil kashinda B.?
 
Hii tuzo itakuja kufa tu huko mbeleni haina uhalisia...Bora tuzo za FIFA
 
Matuzo ya wazungu hayo.wao ndio wanaamua wampe nani.uku afrika sisi ni ushabiki tu wakati wala hayatusaidii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…