Rodri: "Cristiano Ronaldo hana kipaji asilia. Mtu yoyote anaweza ku-train na kuwa kama yeye"

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Naona huyu jamaa tangu amepata ballon d or uchwara analopoka lopoka tu.
Screenshot_20241122-104050.png
 
Na yeye si ajitrain awe na hizo tuzo kama za CR5 kama ni rahisi hivyo?

Ingekuwa hivyo si dunia nzima ingetoa balon d'or za kutosha wachezaji waliojituma,kwani inajuliakana wazi kuwa vipaji duniani ni vichache ila tusidharau juhudi za wanaojituma.

Hizo ni hoja kwa walio na wivu na mafanikio ya CR5,hatofautuani na kina Ibrahimovic

Ni vile vile kwa wote pia wenye wivu kwa Diamond platnumz,kuna watu waliopitwa mafanikio nao wanawachukia sana utafikiri walikatazwa wasijitume
 
Mimi sio shabiki wa CR7, Ila itoshe tu kusema Rodri hapo kupayanga vibaya mno. Mpira ungekuwa mwepesi kiasi hicho kisa training, nadhani kila mtu angekuwa na mafanikio kama aliyonayo Ronaldo.
 
Hakika mkuu

Mi wivu anao basi tu.
 
Na yeye si ajitrain awe na hizo tuzo kama za CR5 kama ni rahisi hivyo?

Ingekuwa hivyo si dunia nzima ingetoa balon d'or za kutosha wachezaji waliojituma,kwani inajuliakana wazi kuwa vipaji duniani ni vichache ila tusidharau juhudi za wanaojituma.

Hizo ni hoja kwa walio na wivu na mafanikio ya CR5,hatofautuani na kina Ibrahimovic

Ni vile vile kwa wote pia wenye wivu kwa Diamond platnumz,kuna watu waliopitwa mafanikio nao wanawachukia sana utafikiri walikatazwa wasijitume
Anayo tayari na Kuna walio train kama cr7 mfano vin jr hawana
 
Yy na vini nan anakipaji asilia?
Utakuwa huelewi Mpira Kwa position ya rodri hata haiitaji akili kubwa kujua jamaa ni talented ogopa mtu mkabaji ila hatumii nguvu kama makelele, gatuso, Kate,Wala casemiro ni pure TALENT
 
Amesema wapi?

Weka chanzo cha uhakika hapa tuone.

Shida ya JF unaweza weka habari yoyote ya uwongo watu wanachagua kama mazombie 🙂
 
Back
Top Bottom