imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ziko Drugs za aina nyingi sana na zote hazikufanyi ulale Barabarani.Ungaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziko Drugs za aina nyingi sana na zote hazikufanyi ulale Barabarani.Ungaaa.
Russia aliweza kwa sababu alifanikiwa kuinfiltrate Cells za foreign agents waliokuwa wanaendesha magenge ya kihalifu! Kama huna uwezo wa kuinfiltrate unachagua njia mbadala si lazima hiyo aliyotumia Durtete!Inatakiwa kuDeal na maCartel au Ligalise all Drugs ili Cartels wafilisike.
Akina Sinwar, Nasrallah au HanniyehKumuua Raia mwenye Uraibu wa Madawa ni kinyume na Haki za Binadamu.
Anayetakiwa kuuwawa ni Gaidi lililojifunga Bomu.
View attachment 3138457
Sirudi bro.Sasa hivi utadukuliwa,shauri yako?
Hizo zina effect tofauti kabisa kwenye Ubongo lakini Watu wengi husema kuwa ukivuta "Unga" unalala Barabarani Opioid zinakufanya Drowsy wakati Cocaine ni Stimulant.Ni jina lisilo rasmi ya cocaine/ heroine
Na wale wa Msumbiji Boko Haramu Alshababu Isis hao ukikutana nao ni Bullet tuAkina Sinwar, Nasrallah au Hanniyeh
Hamna nchi iliyoshinda vita dhidi ya hii biashara kongwe , drugs ni biashara yenye mikono ya watu wakubwa duniani na wanataka kuendelea kuweka upinzani kivuli kutoka serikalini ili kuongeza profits na kuweka entry barrier Kwa wanaoingia kwenye hii biashara hapo hapo biashara zinafanyika na hao mapapa wanahonga na kutengeneza syndicates za kuuza madawa ya kulevya kwa kushirikiana na officials wa serikali ,hao ndio huwa wanakamatwa na si mapapa yenyewe ya hii biashara unless labda kutokee wachomeane wenyewe kwa wenyewe ,Unaligalise vipi sembe?Magari barabarani siyatakuwa yakipita juu ya migongo yamateja yaliyolala barabarani.?
Sahihi kabisa, na hujui kwanini Mtu anaanza kutumia Mhadarati mimi pia niliteleza nikawa natumia.Binadamu ana nafasi moja tu ya kuishi, kumuua ni ukatili wa hali ya juu. Bora mtu afe kwa ajali au maradhi
Kweli kabisa MkuuNa wale wa Msumbiji Boko Haramu Alshababu Isis hao ukikutana nao ni Bullet tu
View attachment 3138573
Mtu anaetaka kufa kwa ajili ya Allah unamuwahi halafu unamtanguliza.