Nilianza na Codeine halafu Tramadol Pills halfu Gari likawaka ππUnasema kweli? Ulishakula ngada?
π¨π΅π RAIS WA ZAMANI WA UFILIPINO DUTERTE NJIANI KWENDA THE HAGUE KWA KESI YA VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA ICCView attachment 3138356
Sure thing! Here's the translation:
MANILA, Ufilipino (AP) β Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte aliambia uchunguzi wa Seneti Jumatatu kwamba alikuwa na "kikosi cha kifo" cha majambazi ili kuua wahalifu wengine alipokuwa meya wa jiji la kusini mwa Ufilipino.
Hata hivyo, Duterte alikanusha kuidhinisha polisi kuwapiga risasi maelfu ya washukiwa katika msako mkali dhidi ya dawa za kulevya haramu aliouamuru akiwa rais, ambao ni mada ya uchunguzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kama uhalifu dhidi ya ubinadamu (ICC). Duterte, mwenye umri wa miaka 79, alihudhuria uchunguzi huo ulioonyeshwa kwenye televisheni katika muonekano wake wa kwanza hadharani tangu kipindi chake kumalizika mwaka 2022.
Seneti inachunguza mauaji ya dawa za kulevya chini ya Duterte, ambayo hayajawahi kutokea kwa kiwango hicho katika historia ya hivi karibuni ya Ufilipino. Duterte alikiri bila kufafanua kwamba aliwahi kuwa na kikosi cha kifo cha majambazi saba "ili kushughulikia wahalifu" alipokuwa meya wa jiji la Davao kwa muda mrefu, kabla ya kuwa rais.
"Ninaweza kutoa ungamo sasa ikiwa unataka," Duterte alisema. "Nilikuwa na kikosi cha kifo cha watu saba, lakini hawakuwa polisi, walikuwa pia majambazi." "Nitamuomba jambazi amuue mtu," Duterte alisema. "Kama hutamuua (mtu huyo), nitakuua sasa."
Je atakwepa kunywea kikombe cha The Hague??
Pamoja na haki kwa Ben SaananeDikteta mwingine anapelekwa the Hague rasmi akajibu tuhuma zake, alifanana sana na mwendazake.
Naamini ipo siku mauaji ya halaiki iliyofanyika Rufiji wakati wa mwendazake yatakuja kujibu tu! Roho za mamia ya vijana zilizotupwa mtoni zikaliwa na mamba zinaililia hii nchi na kuna siku tu zitasikilizwa na muumba (kama yupo) ili haki itendeke.
Uki legalise bei ya madawa itashuka sana na hivyo kuua soko la madawa kabisa maana supplier watakua wengi mnoo.Unaligalise vipi sembe?Magari barabarani siyatakuwa yakipita juu ya migongo yamateja yaliyolala barabarani.?
Nini matokeo ya uwepo wa suppliers wengi halafu?Uki legalise bei ya madawa itashuka sana na hivyo kuua soko la madawa kabisa maana supplier watakua wengi mnoo.
Demand inashuka, kwahiyo kilo moja ya cocaine inakua mfano Tsh.100 unadhani tajiri gani atauza tena? So wale matajiri wakubwa wakishaondoka sokoni ndio unakuja kuyaondoa tena madawa hapo tayari unakua umeondoa wale cartels wakubwa, hawa wadogo dogo kuwadaka ni masaa machache tu.Nini matokeo ya uwepo wa suppliers wengi halafu?
ICC itaamua hatma yake.View attachment 3138356
MANILA, Ufilipino (AP) β Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte aliambia uchunguzi wa Seneti Jumatatu kwamba alikuwa na "kikosi cha kifo" cha majambazi ili kuua wahalifu wengine alipokuwa meya wa jiji la kusini mwa Ufilipino.
Hata hivyo, Duterte alikanusha kuidhinisha polisi kuwapiga risasi maelfu ya washukiwa katika msako mkali dhidi ya dawa za kulevya haramu aliouamuru akiwa rais, ambao ni mada ya uchunguzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kama uhalifu dhidi ya ubinadamu (ICC). Duterte, mwenye umri wa miaka 79, alihudhuria uchunguzi huo ulioonyeshwa kwenye televisheni katika muonekano wake wa kwanza hadharani tangu kipindi chake kumalizika mwaka 2022.
Seneti inachunguza mauaji ya dawa za kulevya chini ya Duterte, ambayo hayajawahi kutokea kwa kiwango hicho katika historia ya hivi karibuni ya Ufilipino. Duterte alikiri bila kufafanua kwamba aliwahi kuwa na kikosi cha kifo cha majambazi saba "ili kushughulikia wahalifu" alipokuwa meya wa jiji la Davao kwa muda mrefu, kabla ya kuwa rais.
"Ninaweza kutoa ungamo sasa ikiwa unataka," Duterte alisema. "Nilikuwa na kikosi cha kifo cha watu saba, lakini hawakuwa polisi, walikuwa pia majambazi." "Nitamuomba jambazi amuue mtu," Duterte alisema. "Kama hutamuua (mtu huyo), nitakuua sasa."
Je atakwepa kunywea kikombe cha The Hague??
Vipi kuhusu kizazi utakachoangamiza kwa uwepo wa hiyo biashara ?Uki legalise bei ya madawa itashuka sana na hivyo kuua soko la madawa kabisa maana supplier watakua wengi mnoo.
Hata isipokuwapo hiyo biashara ya ngada, kizazi kitaangamia kwa sababu nyingine tofautiVipi kuhusu kizazi utakachoangamiza kwa uwepo wa hiyo biashara ?
Mfano sahivi madawa si yamepigwa marufuku ila bado watu wanatumia ila ndio wananunua kwa bei kubwa, sasa watu hao hao 100 wakiruhusiwa kutumia ila kodi ni say 100% per teaspoon ina maana serikali itavuna pesa nyingi zilizokuwa zinaenda kwa cartels na wauzaji watakua wengi so madawa yatasambaa ndani ya mwaka or so then cartels wakifilisika unaanza kurudisha mfumo wa zamani kuyapiga marufuku.Vipi kuhusu kizazi utakachoangamiza kwa uwepo wa hiyo biashara ?
Wauzaji wakiwa wengi na biashara ikiwa halali ni rahisi kupata watumiaji wapya wengi wao vijana (mtaongeza idadi ya mateja), itabidi muongeze pia 'Sober house' na mjiandae kwa matukio mengi ya kihalifu na uvunjifu wa usalama.sasa watu hao hao 100 wakiruhusiwa kutumia ila kodi ni say 100% per teaspoon ina maana serikali itavuna pesa nyingi zilizokuwa zinaenda kwa cartels na wauzaji watakua wengi so madawa yatasambaa ndani ya mwaka or so then cartels wakifilisika unaanza kurudisha mfumo wa zamani kuyapiga marufuku.
Kwa hiyo bora kiangamie kwa 'ngada' maana kuangamia ni kuangamia tu ?Hata isipokuwapo hiyo biashara ya ngada, kizazi kitaangamia kwa sababu nyingine tofauti
Kuna baadhi ya nchi zimehalalisha baadhi ya madawa (mfano bangi) tena kwa ajili ya shughuli za kitabibu au tafiti tu na hata watumiaji ni marufuku kutumia hadharani hii maana yake sio 'madawa yote' yanayofaa kuhalalishwa.cartels wakifilisika unaanza kurudisha mfumo wa zamani kuyapiga marufuku.
Bangi Tanzania ni marufuku lakini USA wanavuta tu. Je umeona tofauti ya kizazi kuangamia kati ya USA na TanzaniaKwa hiyo bora kiangamie kwa 'ngada' maana kuangamia ni kuangamia tu ?
Usijikite kwenye bangi pekee... angalia kuhusu madawa mengine ya kulevyaBangi Tanzania ni marufuku lakini USA wanavuta tu. Je umeona tofauti ya kizazi kuangamia kati ya USA na Tanzania
Demand and supply haifanyi kazi hivyo, unajua kitu kikiwa haramu ndio kina wateja wengi maana demand inakua kubwa kuliko supply. Ila ukihalalisha madawa hata ukipandisha kodi kama sigara au pombe kali bado ni ushindi maana serikali ndio itaingiza mabilion compared to Cartels hivyo hata kuiharibu biashara ni wiki moja tu maana mnufaika anakuwa serikali sio tena cartels.Wauzaji wakiwa wengi na biashara ikiwa halali ni rahisi kupata watumiaji wapya wengi wao vijana (mtaongeza idadi ya mateja), itabidi muongeze pia 'Sober house' na mjiandae kwa matukio mengi ya kihalifu na uvunjifu wa usalama.
Kiufupi mtatengeneza balaa jipya.
Mkuu naona kama kuna double standard sana kwenye serikali zetu. Mfano zile pombe kali zinaua Figo mbona hazizuiwi kama tu Sigara nazo zinaua mapafu ila zinaruhusiwa. Sasa kama pombe kali zina madhara na unga una madhara kwanini moja inaruhusiwa na nyingine ndio izuiwe?Kuna baadhi ya nchi zimehalalisha baadhi ya madawa (mfano bangi) tena kwa ajili ya shughuli za kitabibu au tafiti tu na hata watumiaji ni marufuku kutumia hadharani hii maana yake sio 'madawa yote' yanayofaa kuhalalishwa.
Mkuu haya madawa ni adui na janga kwa Dunia, kuhalalisha ndio anguko la nchi
Si kweli ,data na experiment iliyofanyika Portugal ins suggest kinyume ,Portugal Ndio nchi pekee iliyoruhusu kila aina ya dawa ya kulevya kutumika ila result ya kwamba mateka wameongezeka au violence za drug cartels and gangs Hamna , na actually wanapata positive results Kwa kila angle ambayo nimegusia hapo tofauti na nchi ambazo zinakimbizana na wauza madawa na kufanya prohibition ya madawa duniani humu , hii experiment ni kama kipindi kile cha miaka ya 1920 enzi za alcohol prohibition kule Marekani ,hivi una jua kwamba Marekani miaka hiyo alcohol au pombe zilipigwa marufuku ? ,Unajua effects zake kilichotokea baada ya hapo ?Wauzaji wakiwa wengi na biashara ikiwa halali ni rahisi kupata watumiaji wapya wengi wao vijana (mtaongeza idadi ya mateja), itabidi muongeze pia 'Sober house' na mjiandae kwa matukio mengi ya kihalifu na uvunjifu wa usalama.
Kiufupi mtatengeneza balaa jipya.