RODRIGO HERNANDEZ MCHEZAJI BORA WA MSIMU WA UEFA

RODRIGO HERNANDEZ MCHEZAJI BORA WA MSIMU WA UEFA

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za jioni

Hongera nyingi na tujipongeze man city fans for winning UEFA
Kutoka page ya UEFA RODRI16 ndiyo mchezaji bora wa michuano iyo


Kwakweli amestahili sana anajua kazi yake huyo kweli GAME CONTROLLER
 
Jana alikuwa MOTM
IMG_20230611_093600.jpg
 
Ni mchezaji bora wa UEFA CHAMPION LEAGUE rekebisha heading yako mkuu
 
Tunzo ni ya mchongo, ni katika kumtengenezea mizengwe Halland tu asibebe Baloon D'or. Hiyo tunzo kama si wakuwepo Halland basi walitakiwa wampe kijana De Marco jamaa alikuwa Best perfomer kwenye whole tournment.
 
Back
Top Bottom