PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Mdau wa Maendeleo na Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rogatus Shotta Nkwera amechukua na kuerejesha Fomu ya Kuomba ridhaa ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ludewa.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Leo Julai 2.2025 ni Siku ya Mwisho kwa watia nia kurudisha fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi.