Kuna kitu kinaitwa lugha ya upendo(love lamguages). Ukiitambua huwezi teseka katika mambo haya.
Kila mtu ana lugha yake ya upendo kwa mwenzake mfano mwingine atakuonesha upendo kwa kukusifia na maneno mazuri( words of affirmation), mwingine atakupa zawadi(gifts), mwingine anapenda cuddling etc, mwingine atadhihirisha upendo wake kwa kukupikia, kukufulia n.k.
Mwisho, jaribu kumsoma anaoneshaje upendo kwake. Huyo wako ansonesha siyo gift oriented ila kuna kitu atakuwa anakufanyia kudhihirisha upendo sema tu hujamsoma.