Roho inaniuma jamani mpenzi wangu hajawahi kunipa zawadi mpaka mwaka unakaribia kuisha

wanaume kutoa ni jukumu letu la asili, hata maumbile yanajileza me hutoa na ke hupokea, upendo wa ke huhesabiwa katika utii bt upendo wa me huhesabiwa katika kutoa na kusimamia majukumu yake kama kiongozi.
 
Jamani ndugu yenu roho inaniuma nipo ndani ya mahusiano lakini sijawahi kupewa zawadi na mpenzi wangu mwaka saivi umekaribia kuisha mpka unajiuliza ivi napedwa kweli lakini .......

Yaani birthday yangu imepita ameshidwa kuninunulia hata pipi ya 50 au bigijii ya 100 yaani staki kuamini mwaka unaisha hata zawadi sijawahi pewaa
Tambua kwanza kua mwanamoe hana zawadi nyingine bora zaidi ya kukuachia uchi wake. Huo ni upendo na zawadi kubwa saan kama unapewa mbunyee that is enough na ni gift tosha na kubwa saan kwa wanawake. Ridhika na endelea kumpenda na kumweshimu hizoo zawadi unazotaka ww hazina umuhimuu
 
Jamani ndugu yenu roho inaniuma nipo ndani ya mahusiano lakini sijawahi kupewa zawadi na mpenzi wangu mwaka saivi umekaribia kuisha mpka unajiuliza ivi napedwa kweli lakini .......

Yaani birthday yangu imepita ameshidwa kuninunulia hata pipi ya 50 au bigijii ya 100 yaani staki kuamini mwaka unaisha hata zawadi sijawahi pewaa
Vipi ndani ya mwaka Sasa unaisha wewe umempa zawadi ngapi? Au umekariri kupewa tu? Jamani ifike mahali mjue hata sisi tunapenda hivyo vizawadi tunavifurahia pia sana
 
Jamani ndugu yenu roho inaniuma nipo ndani ya mahusiano lakini sijawahi kupewa zawadi na mpenzi wangu mwaka saivi umekaribia kuisha mpka unajiuliza ivi napedwa kweli lakini .......

Yaani birthday yangu imepita ameshidwa kuninunulia hata pipi ya 50 au bigijii ya 100 yaani staki kuamini mwaka unaisha hata zawadi sijawahi pewaa
We ushawahi kumpa?
 
Inasikitisha sana kama woote walioisoma hii thread na kuielewa na kuchangia bila kugundua chochote kilicho tofauti hapa ? ?
Basi jamii yetu IMEHARIBIKA SANA, HAITAKUWA NA MAADILI MEMA TENA
AU MILA NA DESTURI ZA KIAFRICA KWISHA,,,,

TOKA LINI KIJANA WA KIUME AKALILIA ZAWADI TOKA KWA MPENZI WAKE WA KIKE ? ?
BAHATI MBAYA SANA TENA ZAWADI PIPI AU JOJO MWANAUME KWELI ? ?
 
Back
Top Bottom