Mwambie mpenzi wako anapongezwa na chige kwa sababu anapenda kwa kutumia akili na sio kwa kutumia moyo!!
Nothing personal but it's all about someone's future!!
Ngoja nikuulize: Assume una washikaji wawili! Mmoja unamuona yupo focused, anajielewa, fighter, ana uchungu na maisha and all that kiasi kwamba, hata akipata 100K anawaza kuifanyia kazi, na kama inakufa basi ni ile tunaita ajali kazini!
Mshikaji wa pili ni boya fulani hivi, akipata pesa ndo kwanza anakuita mkale bia, hata akipata kazi anakuwa mzembe mzembe!!
Now assume unaokota jiwe la Tanzanite linalokupa milioni kadhaa!! Je, uta-team up na mshikaji gani kati ya hayo wawili ili mfanye mambo ya kuelewa?!
Narudia, i's not personal... it's all about future na ndio maana hata wewe mwenyewe ukikutana na demu haeleweki eleweki, unaishia kupiga na kusepa, na hata kama unakaa nae, unajua kabisa ukiamua kuoa, atakuwa mwingine na sio huyo!
Itoshe tu kusema kwamba, hata mzazi anawekeza kwa mtoto ambae future yake inasomeka, seuze nyie mnaokutana ukubwani halafu bado mnataka mpendwe unconditionally wakati hata mama zenu wakiwaona maboya wanawapa kubwa!