Roho inaniuma mpenzi wangu anataka tuachane kwa sababu hayaelewi maisha yangu

Umemalizia vibaya,mimba huingia tu hata kama mwanaume anapunje
 
MPENZI WAKO AKISEMA NIMECHOKA NAENDA KWA MWANAUME MWINGINE MUACHE AENDE USIWE MBONAFSI MAANA ANA NDOTO ZAKE ZA KUTIMIZA MAISHANI SASA MUACHE AENDE...
DAIMA NA WAKATI UKIWA KAMA MWANAUME USIO MWANAMKE ASIYEKUWA TAYATARI KUPOTEZA KWA NIABA YAKO. KWA SABABU HAWEZI KUWA NA UCHUNGU KWA SABABU HAKUNA ALICHOPOTEZA KWAKO
 
Nilishawahi kuambiwa hivi miaka 2 nyuma. Aisee hamna kitu kwa mwanaume kuambiwa ivo 😂😂. Niliumia mno afu manzi nilikua namuelewa kinoma by that time.

Basi life limesongaa mwaka huu anajileta mwenyewe na kujibebisha wakat mi nlishamtoaga moyoni kitambo. Cha ajabu saivi na mimi namuona ni mbabaishaji sana. Na kile alichoniambia nadhani ndio kinamfanya afake maisha akiwa na mimi ili aonekane yeye ni fighter wakati kaja kuliwa kimasikhara kwangu 😂😂😂
 
UKIWEZA KUKUBALI MATOKEO, UTASHINDA KILA VITA YA MAISHA
 
Huyo hakufai sio mke kwako. Ukimn'gan'gania mwisho wake utaishia jela. Watu kama hao hata ukawapa nini hawatoridhika. Siku utakaoleta Millioni , siku ya Pili atahitaji Privat jet huyo. Mke mzuri unaweza kumpima pale maisha yako yanapokuwa duni
 
Huyo hakufai sio mke kwako. Ukimn'gan'gania mwisho wake utaishia jela. Watu kama hao hata ukawapa nini hawatoridhika. Siku utakaoleta Millioni , siku ya Pili atahitaji Privat jet huyo. Mke mzuri unaweza kumpima pale maisha yako yanapokuwa duni
AHSANTE KWA KUWA MUELEWA
 
Mkuu mimba na kufika kileleni ni vitu viwili tofauti

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu

Huyo ndio mwanamke wa kuoa sasa, hebu mshukuru sana na ukiweza mnunulie hata kazawadi kwa kuwa so real.

Hiyo nyundo amegonga hiyo kichwa bro, nakupa miezi 6 lazima ubadilike na kujielewa, na zaidi lazima utoboe. Yaani ni kama kampiga teke chura, huwa hamnaga kitu inaingia kichwani kwa haraka kama inspiration kutoka kwa mpenzi.

Ilishawahi kunikuta kama hii - We, ingia mtaani anza kupambana, yakianza kunyooka kama bado yupo oa, kama hayupo then songa mbele; rafiki mzuri ni yule anayekueleza ukweli.
 
kwani wewe unaonaje yeye kwako ametimiza yapi, vp lakini hata kwa wazee wa goodmorning hujabatika kupata kazi
 
demu anakupenda ndoo maana kakuchana.

Kupitia ukwel wake ndo utakufanya ww uwe na hasira ya kutafuta pesa uwenda ungeendelea kuwa nae usingeweza kuzipata hizooo hasira za kutafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…