Kiume3000
Senior Member
- May 17, 2021
- 180
- 218
Kwenye nukta ya somo hapo nafafanua.
Niombe Radhi Sana kwa yeyote niliyemkwaza. Sio aina ya mtu mwenye Roho mbaya, ingawa wakati mwingine naona kama Kuna jambo halijakaa sawa hapo moyo unauma na kuanza kujilaumu na kulaumu wengine.
Nafsi inapoona haki haijatendeka, moyo unauma, unauma sana, Roho inapenda nakutaka kufanya kitu.. japo sio kitu kizur,kwake nafsi unaona ni sawa. La hasha kuomba Radhi ndio jambo jema kuliko hatari.
Leo nimeona nitoe la moyoni niwe huru nafsini. Moyo wangu unapenda uhuru, mwili unalalamika na kuona ipo haja kuombana Msamaha. Asanteni. Na Mnyazi Mungu atatubariki sana