Roho inauma sana

Azimio la kazi

Senior Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
138
Reaction score
452
Wakuu kesho Ilikuwa nianze safari ya kwenda German kwenye tour ya kimasomo, baada ya kukidhi vigezo vyote jamaa wakasema tutupeme bio data of password, bahati mbaya mimi hata passport Sina aisee wenzangu wakatuma kesho wanaanza safari.

Tour hii ipo sponsored na chuo chetu apa jijini dar na chuo rafiki kilichopo Germany.
 
Ngoja kwanza mechi ya stars iishe maana ni jambo la kitaifa.
 
Kwani hukujua inaitajika pasipot toka unaanza hiyo taratibu.
 
Passport na leseni ya udereva ni lazima kuwa nayo hata kama husafiri au huna gari.

#YNWA
 

Afadhali ukwenda maana uwezo wako kiakili mdogo sana, umekidhi vigezo vyote lakini passport huna, sasa haujui passport ni kigezo cha kwanza kutoka nje ya hii nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…