si vijana tu hata wazee wanatumia hiyo theory ndio maana utakuta mtu kafiwa na mkewe miezi sita haijapita anataka kuoa jiulize huyo mke mtarajiwa amempata lini kama akuwa pending muda mrefu tuKuna Tetesi kwa vijana kuwa ili kupunguza wingi wa mawazo, kuwekwa roho kwatu, kuwekwa roho juu, kuumia kwa mawazo kuz ov mapenzi basi unatakiwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja ili akikuumiza mmoja basi wa pili anakutuliza mawazo. Je kuna ukweli katika hili?
Kuna Tetesi kwa vijana kuwa ili kupunguza wingi wa mawazo, kuwekwa roho kwatu, kuwekwa roho juu, kuumia kwa mawazo kuz ov mapenzi basi unatakiwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja ili akikuumiza mmoja basi wa pili anakutuliza mawazo. Je kuna ukweli katika hili?
Wote wanaweza kukukera kwa wakati mmoja! kwa hiyo hakuna uthibitisho wa jambo hilo! labda ukawafuate wale wa kununua ambao hawanuni wala kukukera muda wote ili mradi watoa malipo mazuri, tahadhari uwe mjanja wa kuficha waleti yako!
Sisemi neno hapo. Dena laway guute
YES!
pia nachokifahamu tu kwa waliooa ni kwamba inatakiwa kuwa unamega nje ili hata siku na wewe ukisikia umemegewa iwe neutro tu isikuume sana kiasi cha kuja kusababisha madhara makubwa kama kujiua au kuua mwezi wako so make it simple like that mega nnje ...:smile-big:
Dear huo utoe mawazoni sentensi yako yaoneshs as if ua planning .....NI MAPEMA MNO KULIONGELEA SWALA ILI CZ UO MCHEZO SJAUANZA
NGOJA NIENDE NIKAWAITE WENYE MAUZOEFU YAO NA WAPENZ WATANO WATANO....MIMI AKHU SIUSIKI...:car:
Kuna Tetesi kwa vijana kuwa ili kupunguza wingi wa mawazo, kuwekwa roho kwatu, kuwekwa roho juu, kuumia kwa mawazo kuz ov mapenzi basi unatakiwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja ili akikuumiza mmoja basi wa pili anakutuliza mawazo. Je kuna ukweli katika hili?
sidhani kama kuna ukweli woowote ndani yake as u knw binadam tunafanana kama tunavyotofautiana so kama mpz wako A anamatatizo ya kususa ovyo,B anatatizo la kudeka,C anatatizo la kung'ang'ania vitu...........,utakuwa unatoka kwa A ukienda kwa B unakutana na tatizo ukienda kwa C same and the list goes on n on,nadhani kama binadam lazima na ww unamapungufu yako tea mengi tu,ni vzr kukaa na mwenzio na kujua nn mnapaswa kufanya ktk mahusiano yenu ili muweze kufika kule mtakako zaidi ya yote kumshirikisha Mungu ktk kila jambo jema mpangalo.Kuwa na wapenzi wengi tu mi ni ushamba na ujinga tu,kwanza unaongeza matatizo na mtumizi,na mapenzi yanapungua!