sidhani kama kuna ukweli woowote ndani yake as u knw binadam tunafanana kama tunavyotofautiana so kama mpz wako A anamatatizo ya kususa ovyo,B anatatizo la kudeka,C anatatizo la kung'ang'ania vitu...........,utakuwa unatoka kwa A ukienda kwa B unakutana na tatizo ukienda kwa C same and the list goes on n on,nadhani kama binadam lazima na ww unamapungufu yako tea mengi tu,ni vzr kukaa na mwenzio na kujua nn mnapaswa kufanya ktk mahusiano yenu ili muweze kufika kule mtakako zaidi ya yote kumshirikisha Mungu ktk kila jambo jema mpangalo.Kuwa na wapenzi wengi tu mi ni ushamba na ujinga tu,kwanza unaongeza matatizo na mtumizi,na mapenzi yanapungua!