Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Ni moja ya makabila machache sana Tanzania ambao jamii zao wengi wamefanya maendeleo makubwa kimaisha.Wapare kwa Ubahili Hilo lipo wazi.
Ni wachumi
Huwezi Kula pesa ya Mpare Kiholela.
Yaani ni ngumu kumuita Mpare Buzi lako.
Ingawaje wapo mmojammoja.
Nasoma comments za walioguswa na jinsi zilivyokuwa ndefu ndefu...Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
Mleta uzi itakuwa ana mkwaruzano wa kimapenzi na mpare.
Ni moja ya makabila machache sana Tanzania ambao jamii zao wengi wamefanya maendeleo makubwa kimaisha.
Naona ni ubahili uchwara , wazungu ni bahili na roho mbaya ila wapo mbali kimaendeleo. Wapare acheni hizo!!
Kumbe wewe mpare aisee, ndo maana kila wakati makala ndeeefu humu. Wapare kwa kesi mpewe maua yenu.Wapare wanapenda Haki.
Wapare Wana haki za kijinsia.
Jambo ambalo mtu mwingine akioa binti wa kipare inaweza kumsumbua kama ataleta mfumo Dume wa kishenzi usio na haki.
Wapare wanapenda Kusoma.
Wapare sio golikipa wanapenda kufanga KAZI.
Wapare hujali familia kuliko kitu chochote.
Mabinti walioolewa na Wanaume wakipare wanajua Sisi tunajua kujali na kutunza familia.
Nasoma comments za walioguswa na jinsi zilivyokuwa ndefu ndefu...
Kumbe wewe mpare aisee, ndo maana kila wakati makala ndeeefu humu. Wapare kwa kesi mpewe maua yenu.
Kuna wale wagweno mimi ndio naona ni wapambanaji mnoNi moja ya makabila machache sana Tanzania ambao jamii zao wengi wamefanya maendeleo makubwa kimaisha.
Wapare wanasingiziwa sana.Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
enye wanzifanyia roho mbaya nafsi zao,,,,wanaweza wakakaamwezi mzima bila kula nyama, na kila sebule ya mpare ina picha ya samaki,,,yaani akikata tonge,anaangalia picha ya samaki ndo anachvya tonge mchuzi!! wana balaa hao jamaa balaa,,,,,,,,alafu ni wafupi kama nyundoHawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
wivu, unafiki,umalaya and whatever hichi ni kirusi kwa makabila yoteee tz kamaHawa wajomba hawana roho mbaya ila wivu, unafiki na ubahiri wa kijinga. Nasikia ubahiri ni tukio liliwahi kitokea enzi za mababu zao nafikiri ilikiwa ni njaa, sasa wote wamefanya kama basic need mambo kijinga kabisa.
Nikiwa karibu na hawa jamaa huwa nakuwa makini sana. Maana anaweza kukuchekea usoni kumbe anakusnich kinyumenyume
ila hapo kwenye wivu ,unafiki, ubnafsi hizi ni sifa za mtu mweusi kwa kabila zoteeee Tanzania na nje ya nchi ila kila kabila lina sifa yake moja kuu ambayo linayo.Hawa wajomba hawana roho mbaya ila wivu, unafiki na ubahiri wa kijinga. Nasikia ubahiri ni tukio liliwahi kitokea enzi za mababu zao nafikiri ilikiwa ni njaa, sasa wote wamefanya kama basic need mambo kijinga kabisa.
Nikiwa karibu na hawa jamaa huwa nakuwa makini sana. Maana anaweza kukuchekea usoni kumbe anakusnich kinyumenyume
Na ubishi na kupenda kesiRoho mbaya hapana ila ubahili sio mchezo
kwa kujali familia nawapa heko mahali sana familia kwa kweli hasa watoto.Wapare wanapenda Haki.
Wapare Wana haki za kijinsia.
Jambo ambalo mtu mwingine akioa binti wa kipare inaweza kumsumbua kama ataleta mfumo Dume wa kishenzi usio na haki.
Wapare wanapenda Kusoma.
Wapare sio golikipa wanapenda kufanga KAZI.
Wapare hujali familia kuliko kitu chochote.
Mabinti walioolewa na Wanaume wakipare wanajua Sisi tunajua kujali na kutunza familia.