ROHO MBAYA TU KWENYE MASHEREHE

ROHO MBAYA TU KWENYE MASHEREHE

super black

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
566
Reaction score
533
31d5930c24e5119f3b1e3221d3535427.jpg

Haka katabia kakupakuliwa nyama kwenye sherehe wakati kwenye wali chips na vingine mtu anajipakulia ni uchoyo au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaaahhahah, ngoja nitoke nje ya mada kidogo!
Nyama sijui ina nini kwa kweli! kuna makabila huku kanda ya Ziwa wenyewe ikiwa mfano ni kwenye shereha au msiba NYAMA INAPIKWA NA WANAUME, hahahhahhahahahahh. acheni nyama iitwe nyama!!!!!
 
Ninawaoneaga sana huruma wanaume pale wanaposema 'ladies first'.
 
hahahaaahhahah, ngoja nitoke nje ya mada kidogo!
Nyama sijui ina nini kwa kweli! kuna makabila huku kanda ya Ziwa wenyewe ikiwa mfano ni kwenye shereha au msiba NYAMA INAPIKWA NA WANAUME, hahahhahhahahahahh. acheni nyama iitwe nyama!!!!!
Mmmmmmh alafu wali wanapika wanawake?chezea nyama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa yaliyokusibu.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Wengine kuku wanakula kwenye sherehe tu.. Ndiyo maana ukimuachia ajipakulie anaweza akazoa vipande kibao bila kujali kuna wengine hawajala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me ndiyo maana sikai mbali na muhudumu wa nyama na vinyaji huwa lazima niwafanye marafiki
 
Mara nyingi mboga uzidi chakula chenyewe. Uwezi kupika mchele kilo mia na nyama kilo mia hizo hizo hivyo kwa hesabu hiyo mboga ni kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaelewa kazi yake maana mtu unaweza beba nyama zote ukabeba na mifukoni zingine huku utachukua wakati huo huo unaanza hapo hapo kutafuna
 
hahahaaahhahah, ngoja nitoke nje ya mada kidogo!
Nyama sijui ina nini kwa kweli! kuna makabila huku kanda ya Ziwa wenyewe ikiwa mfano ni kwenye shereha au msiba NYAMA INAPIKWA NA WANAUME, hahahhahhahahahahh. acheni nyama iitwe nyama!!!!!

unachosema ni kweli hhahaha kwenye mahari ya ndg yangu mwanza walipika nyama wanaume sikuwa na mbav alafu wanakata kubwa kubwaaaaa unaona hata aibu!wenyew walikua wanatembea barbarn wanakula hahahah!salute sukuma aic
 
Back
Top Bottom