Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
Basi sawa wamekusikia,Hii tabia ya baadhi ya members Ku reply bila kuweka na kareaction kokote ni roho mbaya tu zinawasumbua.
Tujitahidi jamani kusambaza upendo wakati wa kureply.kuweka reaction yoyote.iwe ya kuchukia,kufurahi,kupongeza,etc.sometimes tuvitu tudogo tudogo kama hivi vinatufanya wana JFGT tupendane na kupeana motisha.
Ni hayo tu.
Sijanywa chai bado.πππ
pole chiefHii tabia ya baadhi ya members Ku reply bila kuweka na kareaction kokote ni roho mbaya tu zinawasumbua.
Tujitahidi jamani kusambaza upendo wakati wa kureply.kuweka reaction yoyote.iwe ya kuchukia,kufurahi,kupongeza,etc.sometimes tuvitu tudogo tudogo kama hivi vinatufanya wana JFGT tupendane na kupeana motisha.
Ni hayo tu.
Sijanywa chai bado.[emoji38][emoji38][emoji38]
Dah..nimelike ...na kureply...kesi imeisha[emoji41]Hii tabia ya baadhi ya members Ku reply bila kuweka na kareaction kokote ni roho mbaya tu zinawasumbua.
Tujitahidi jamani kusambaza upendo wakati wa kureply.kuweka reaction yoyote.iwe ya kuchukia,kufurahi,kupongeza,etc.sometimes tuvitu tudogo tudogo kama hivi vinatufanya wana JFGT tupendane na kupeana motisha.
Ni hayo tu.
Sijanywa chai bado.[emoji38][emoji38][emoji38]
Dah..nimelike ...na kureply...kesi imeisha[emoji41]
Unataka nini???
anataka UPENDOUnataka nini???
Wa agape au wa kawaida?anataka UPENDO
ukimpatia wa aina zote atafurahi zaidi,Wa agape au wa kawaida?
Atume pesa kwanza mjini cha bure salamu tu....ukimpatia wa aina zote atafurahi zaidi,
huo wa agape una rangi gani kwani?
mara hii tena!!! [emoji28]Atume pesa kwanza mjini cha bure salamu tu....
Hata kuuliza njia unalipia
Ndiondio si anataka upendo au????mara hii tena!!! [emoji28]
Ndiondio si anataka upendo au????
Sijui tenaUpendo wa kulipia nao ni upendo?[emoji41][emoji41][emoji41]
ndio..acha alipie tu apate upendo asilalamike tena.Ndiondio si anataka upendo au????
haya lipia upate upendo wa rangi zote.Upendo wa kulipia nao ni upendo?[emoji41][emoji41][emoji41]
Analipia anapewa upendo mpaka anajiuliza nini hiki;!!!ndio..acha alipie tu apate upendo asilalamike tena.haya lipia upate upendo wa rangi zote.