Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji849][emoji849][emoji849]Nilidhani hujaniona 🤣🤣
Ahahahahah pole sana mamyMi sina emoji yoyote notification zinakuja mara chache sana wakati mwingine inaniletea notification za mada za mwaka juzi mpk najiuliza mchawi gani huyu
AsanteAhahahahah pole sana mamy
Anaweza kulike post ya kwanza hadi ya mwisho.huyo jamaa yangu ni mtu wa upendo siku zote....amebarikiwa moyo wa kipekee.
umefanya vyema kumuita hapa...
Anaweza kulike post ya kwanza hadi ya mwisho.
anasambaza upendoAnaweza kulike post ya kwanza hadi ya mwisho.
Hahhaha pole ebu jaribu kuupdateMi sina emoji yoyote notification zinakuja mara chache sana wakati mwingine inaniletea notification za mada za mwaka juzi mpk najiuliza mchawi gani huyu
Roho ni nini?Hii tabia ya baadhi ya members Ku reply bila kuweka na kareaction kokote ni roho mbaya tu zinawasumbua.
Tujitahidi jamani kusambaza upendo wakati wa kureply.kuweka reaction yoyote.iwe ya kuchukia,kufurahi,kupongeza,etc.sometimes tuvitu tudogo tudogo kama hivi vinatufanya wana JFGT tupendane na kupeana motisha.
Ni hayo tu.
Sijanywa chai bado.[emoji38][emoji38][emoji38]
Hizo zilizopo ni za kwenye simu sio za app. Mello alisema tuendelee kutumia za kwenye simu hadi hapo watakaporekebisha hilo.Mamy mbona Mimi emoj ninazo na notification zinafika na ninatumia app
Ahaaaaa basi sawaHizo zilizopo ni za kwenye simu sio za app. Mello alisema tuendelee kutumia za kwenye simu hadi hapo watakaporekebisha hilo.
Hahhaha pole ebu jaribu kuupdate
Hizo zilizopo ni za kwenye simu sio za app. Mello alisema tuendelee kutumia za kwenye simu hadi hapo watakaporekebisha hilo.
Roho ni nini?
Yes, nakumbuka alilijibu hilo kwenye ule uzi alotoa wa kuhusu marekebisho na maboresho ya jf.Kumbe
Bado kuna shida mingi wajirekebisheYes, nakumbuka alilijibu hilo kwenye ule uzi alotoa wa kuhusu marekebisho na maboresho ya jf.
Sanaaaaaaa! Kama app ndio majanga kabisa. Notifications haziji au zikija zinachelewa kweli. Ya wiki ilopita unaipata leo.Bado kuna shida mingi wajirekebishe
Web hata mimi inanishinda, nimezoea zaidi app.Niliuninstall nikainstall upya ndo kuniletea notification za mwaka juzi,,,? Web inanishinda kabisa