ROHO MBAYA TU 😡😡😡

ROHO MBAYA TU 😡😡😡

Hii tabia ya baadhi ya members Ku reply bila kuweka na kareaction kokote ni roho mbaya tu zinawasumbua.
Tujitahidi jamani kusambaza upendo wakati wa kureply.kuweka reaction yoyote.iwe ya kuchukia,kufurahi,kupongeza,etc.sometimes tuvitu tudogo tudogo kama hivi vinatufanya wana JFGT tupendane na kupeana motisha.
Ni hayo tu.

Sijanywa chai bado.[emoji38][emoji38][emoji38]
Roho ni nini?
 
Back
Top Bottom