Roho mbaya

Roho mbaya

emmadizo

Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
16
Reaction score
1
Kweli nimeamini kuwa kunawatu wanaroho mbaya, kwa mfano; nimesema hapa jamani hodi, kira mtu na kazi zake sasa nasema tena hodi kama hamtaki nitafanya kama nilivyo fanya mwaka jana.
 
kweli nimeamini kuwa kunawa2 wanaroho mbaya,kwa mfn;nimesema hapa jamani hod,kira m2 na kazi zake sasa nasema tena hod kama hamtaki nitafanya kama nilivyo fanya mwaka jana

Karibu jamani.....Unatumia kinywaji gani..
 
kweli nimeamini kuwa kunawa2 wanaroho mbaya,kwa mfn;nimesema hapa jamani hod,kira m2 na kazi zake sasa nasema tena hod kama hamtaki nitafanya kama nilivyo fanya mwaka jana
Ulifanya nini mwaka jana?

Karibu sana jamvini.
 
Toka tarehe 22/3/2014 upo hapa mbana hukupiga hodi ukaja kibabe omba samahani kwanza
 
Back
Top Bottom