Roho Mtakatifu ndiye suluhisho la kudumu la matatizo ya mwanadamu

Inasikitisha kanisa la sikuhizi halitilii mkazo uhusiano binafsi na Roho Mtakatifu, Bali kwao maji, uongo na mafuta ya upako ndio msaada kumbe wanafanya mateka wa shetani... Mkristo bila Roho Mtakatifu ni Sawa kabisa na Mpagani.

Tamani kumjua, utaona Raha ya kuwa Mkristo.
 
 
ndugu yangu habari yako
 
Huyo roho wako mtakakitu yuko wapi zaidi ya kujihadaa? Kumbuka. Ni roho mtakatifu wako huyu huyu aliyetumiwa na wakoloni kututawala, kututesa, kutudanganya, na kutunyonya mbali na kutudhalilisha. Ashindwe na aregeee wakiwamo wote ambao bado wanaamini katika utopolo huu karne hii ya 21.
 
jamaa yangu unamwamini mungu
 
Poa.nadhani ila sina uhakika km yupo au hayupo
ipo hivi ili ujue inakubidi cha kwanza fanya/jenga urafiki na wazee walio na umri au unaowachukulia sawa na wazazi wako ila hakikisha awe na roho nzuri muhimu awe na roho nzuri usimzarau mtu mkubwa kigezo cha huyo unaetaka kujua ukweli awe na sifa zinazokubalika katika jamii. -mf wa hizo sifa asiwe malaya anachukua wake za watu,asiw mlevi,mgovi kikubwa awe na sifa zinazokubalika na wat wa roho nzuri nakusihi hap uwe kwanza nawew uwe na roho nzuri mf kama hap nyumbani muheshim mzaz na wengine walio kuzid umr ila usiheshim mpaka kila kitu utakachoambiw uangalie mazuri tu ndo uwaheshim na kufanya ila asante ndugu fatilia utajua tu lakini sio bora kuishi bila uhakik asante
 
Ingekuwa vyema ungeeleza namna gani yakumpata huyo Roho Mtakatifu
Roho mtakatifu ni wewe mwenyewe
Ukiwa mjinga na huyo roho mtakatifu wako atakuwa mjinga km wewe.
Ndiyo maana ukimtoa mtu kijijini ambae akuwai kupata elimu kuhusiana na umeme , roho mtakatifu wake awezi kumshauri asishike waya wenye umeme akiwa hayupo isolated .
 
Je kama mimi ni mzee kama hao unasemaje mwanangu?
 
 
Je kama mimi ni mzee kama hao unasemaje mwanangu?
aa mzee wangu bado hujachelewa sasa ni hivi inabidi kwanza ufanye mambo ambayo wanayafanya watu/mtu wenye roho nzuri mf mzuri ni huu kutembea na mke/mme wa mtu je! wew akifanyiwa hivyo utafulahi? au kuoa wake wengi je! yeye akiolewa na wengi na wewe ni mmoja wao utafulahi? na kuja tena na mfano mwingine asante
 
Je kama mimi ni mzee kama hao unasemaje mwanangu?
aa mzee wangu bado hujachelewa sasa ni hivi inabidi kwanza ufanye mambo ambayo wanayafanya watu/mtu wenye roho nzuri mf mzuri ni huu kutembea na mke/mme wa mtu je! wew akifanyiwa hivyo utafulahi? au kuoa wake wengi je! yeye akiolewa na wengi na wewe ni mmoja wao utafulahi? na kuja tena na mfano mwingine asante napenda uniulize tu maana hata mimi nikiwa na swali unaweza ukanijibu
 
Asante sana kila mmoja a subscribe uzi huu.
Upo umuhimu mkubwa kuliko vyote kuelewa issue ya Roho Mtakatifu, maana kadri tunavyoenda atakuwa anaondoka mioyoni mwa wa watu, hata sasa wapo ambao Roho huyu ameondoka kwao, lkn ni muhimu kuelewa namna gani anaweza kuwa ndani ya mtu na vitu gani anaweza asipate nafasi ya kuwapo ndani yako.
Tukisikia neno MMONYOKO WA MAADILI maana yake kuondoka kwa Roho Mtakatifu mioyoni mwa watu
 
Ivi unajua matatizo ya watu wewe? Kama hujui matatizo ya watu basi nakusihi uende hospital ukaone huko,na utawasaidia wapate huo uponyaji wa huyo roho mtakatifu. Shida ya roho mtakatifu,anajidai kuponya matatizo yasiyoonekana hasa mapepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…